Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa Majaliwa azindua Hospitali ya Tosamaganga kuwa ya Rufaa ngazi ya mkoa.



Uongozi wa Hospitali ya rufaa ya mkoa Tosamaganga, inawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Iringa kwenye kambi kubwa ya bure ya upasuaji wa kurekebisha viungo. Itakayoanza siku ya Juma Tatu Tarehe 16 February hadi Tarehe 28 February mwaka 2025.