Ujio wa Madaktari Bingwa wa upasuaji wa kurekebisha viungo kutoka Ujerumani.

Uongozi wa Hospitali ya rufaa ya mkoa Tosamaganga, inawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Iringa kwenye kambi kubwa ya bure ya upasuaji wa kurekebisha viungo. Itakayoanza siku ya Juma Tatu Tarehe 16 February hadi Tarehe 28 February mwaka 2025.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *