Hospitali ya tosamaganga ipo katika maboresho makubwa ya majengo ya idara mbalimbali.

Maboresho hayo makubwa yanafanywa kwa kutumia mapato ya ndani lakini pia jengo la I.C.U linajengwa kwa Michango iliyopatikana kwa Mbio za hisani za kuchangia I.C.U zilizofanyika tarehe 22 mwezi Jun mwaka 2023. hata hivyo bado kuna uhitaji wa wadau wa Afya na mashirika mbalimbali kuombwa kuchangia ujenzi wa I.C.U kwani bado hatujafikia Malengo.

JENGO KUBWA LINALOENDELEA KUJENGWA
JENGO KUBWA LENYE IDARA MBALIMBALI
JENGO LA I.C.U (PRIVATE)
JENGO LA I.C.U KABLA YA KUPIGA PLASTA
JENGO LA I.C.U LILIPOFIKIA SASA

Similar Posts

2 Comments

  1. I have been surfing online greater than three hours nowadays, but I never found any interesting article like yours.
    It’s lovely price sufficient for me. In my opinion, if all
    webmasters and bloggers made just right content as you probably did, the net will likely be a lot
    more helpful than ever before.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *