Mbio za hisani kuchangia ujenzi wa I.C.U
Hospitali ya Tosamaganga inatarajia kuendesha Mbio za Hisani “TOSAMAGANGA MARATHON” kama kampeni kwaajili ya kuchangia umaliziaji wa ujenzi wa jengo la ICU, Mbio hizo zitafanyika Tarehe 22 Julai 2023 nyote mnakaribishwa kuwa sehehemu ya historia Tushiriki Pamoja .