Mtaalam wa CT Scan akiwa na Kamati ya Siasa Mkoa wa Iringa
Pichani ni Mtaalamu wa CT- SCAN Sr. Astrida akitoa maelezo mbele ya kamati ya siasa ya Mkoa wa Iringa Ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa kwanza upande wa kushoto Ndugu Daud Yassin akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Halima Dendego wa pili kutoka upande wa kushoto na viongozi wengine walipotembelea Hospitali…
SEMINA ILIYO ANDALIWA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMSHAURI YA WILAYA YA IRINGA KWA KUSHIRIKIANA NA UONGOZI WA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA PAMOJA NA WATUMISHI WA KADA ZOTE ZA TARAFA YA KALENGA HALMSHAULI YA WILAYA YA IRINGA KATIKA SEMINA YA MAJADILIANO YA MAMBO YA KIUTUMISHI PAMOJA NA KUSIKILIZA KERO ZINAZO WAKABIRI WATUMISHI NA KUTAFUTA UTATUZI PAMOJA NA KUTOLEA UFAFANUZI. SEMINA HIYO…
Hospitali ya tosamaganga ipo katika maboresho makubwa ya majengo ya idara mbalimbali.
Maboresho hayo makubwa yanafanywa kwa kutumia mapato ya ndani lakini pia jengo la I.C.U linajengwa kwa Michango iliyopatikana kwa Mbio za hisani za kuchangia I.C.U zilizofanyika tarehe 22 mwezi Jun mwaka 2023. hata hivyo bado kuna uhitaji wa wadau wa Afya na mashirika mbalimbali kuombwa kuchangia ujenzi wa I.C.U kwani bado hatujafikia Malengo.
Tangazo la nafasi za kazi
Download tangazo hapa
Kilele cha mbio za hisani za kuchangia Ujenzi wa Jengo la wagonjwa Mahututi Hospitali ya Tosamaganga
Pichani ni Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya Prof.Paschal Rugajo aliye simama kwa niaba ya Waziri wa Afya akiwa kwenye kilele cha maadhimisho ya Mbio za hisani za kuchangia Ujenzi wa Jengo la Wagonjwa mahututi Zilizofanyika Tarehe 22/7/2023 Katika hospitali ya Tosamaganga,Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh.Halima Dendego na kulia…