Kilele cha mbio za hisani za kuchangia Ujenzi wa Jengo la wagonjwa Mahututi Hospitali ya Tosamaganga

Pichani ni Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya Prof.Paschal Rugajo aliye simama kwa niaba ya Waziri wa Afya akiwa kwenye kilele cha maadhimisho ya Mbio za hisani za kuchangia Ujenzi wa Jengo la Wagonjwa mahututi Zilizofanyika Tarehe 22/7/2023 Katika hospitali ya Tosamaganga,Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh.Halima Dendego na kulia Kwake ni Makamu Askofu wa Jimbo katoliki la Iringa Vicent Mwagala.

Similar Posts

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *