Uzinduzi wa Tosaganga Afya Cup
Uzinduzi wa Tosamaganga Afya cup uliyofanyika tarehe 1/6/2023 katika uwanja wa Msiwasi uliyopo Tosamaganga ,mashindano haya yamedhaminiwa na hospitali ya Tosamaganga yakijumuisha Timu kwa lengo la kuimarisha Michezo na kujenga Afya.